Ndugu wapendwa hapa katika blogger yangu nitakua nikipost vichwa mbalimbali vya magazeti na nitakua nikitoa notes za wanaojifunza au kwa wanachuo wanaosoma IT yahani. INFORMATION TECHNOLOGY, Sio ivo tu nitakua nikitoa linki za movie wanaotaka kucheki movie nitafanya hayoo yote naomba ushirikiano.